Ziara ya Mh.Waziri kwenye vituo vya Afya Wilaya ya Kati na Mjini

WIZARA ya Afya Zanzibar imesema inakusudia kuimarisha huduma za afya ya msingi kwa kuweka mindombinu yenye ubora zaidi  na wananchi waendelee kupata matibabu bila ya usumbufu. Hayo yameelezwa na Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui katika muendelezo wa Ziara yake  ya kutembelea vituo vya afya aliyofanya Wilaya ya Kati na Mjini ya kuangalia miundombunu […]

WIZARA ya Afya Zanzibar Kuimarisha mashirikiano yake na Shirika la Afya Ulimwenguni WHO

WIZARA ya Afya Zanzibar imesema itaendeleza mashirikiano yake na Shirika la Afya Ulimwenguni WHO katika kuimarisha huduma za Afya hapa nchini. Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui amesema hayo huko ofisini kwake wakati alipomkaribisha Mwakilishi Mkaazi mpya wa Shirika la Afya ulimwenguni nchini Tanzania alipofika kwa kujitambulisha. Amesema WHO inafanya kazi kubwa hapa nchini […]

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema itaendelea kuimarisha huduma za afya ya msingi kwa maeneo yote ya Unguja na Pemba

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema itaendelea kuimarisha huduma za afya ya msingi kwa maeneo yote ya Unguja na Pemba ikiwa na lengo la kuboresha huduma za uzazi salama, matibabu ya meno na kinywa, uchunguzi wa ‘ultra sound” na huduma za maabara zipatikane kwa ufanisi wenye vituo vya afya vyote vya msingi kwa maeneo yote […]

Wizara ya Afya Zanzibar yapokea msaada wa vifaa tiba kutoka kwa Diaspora

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Wizara ya Afya Zanzibar imesema itaendelea kushirikiana na wananchi wanaoishi nnje ya nchi Diaspora kwa lengo la kuimarisha huduma za Afya hapa nchini. Hayo yameelezwa na Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui huko Hospitali ya Wilaya Kitogani wakati alipopokea msaada wa vifaa tiba na dawa kwa  watanzania wanaoishi Marekani […]

NIMRI kufanya utafiti wa Magonjwa yasiyoambukiza kwa ushirikiano wa WHO na Serikali ya Tanzania

SERIKALI ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kushirikiana na  Shirika la Afya ulimwenguni WHO inakusudia kufanya Utafiti wa Viashiria vya Magonjwa yasiombukiza kote nchini ili kuweza kutambua ukubwa wa magonjwa hayo Akizindua utafiti wa kitaifa wa viashiria vya magonjwa yasiombukiza huko Dodoma Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui […]

Waziri wa Afya Zanzibar akutana na Madaktari wa Meno kutoka Oman

WAZIRI wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui amesema kuja kwa madaktari wa maradhi ya meno kutoka Oman kumesaidia kwa kiasi kikubwa kufanya uchunguzi na matibabu kwa wananchi wa Zanzibar. Amesema wananchi wengi hasa watoto wanasumbuliwa na maradhi ya meno kutokana na kula vyakula kwa wingi vya sukari na vikali ambapo kunasababishwa kwa kiasi kikubwa kuharibu […]

Loading