Zabuni

Kitengo cha Elimu ya Afya cha Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kinatangaza nafasi ya kazi ya Mshauri Elekezi wa kuisaidia Wizara ya Afya kutengeneza Vitendea kazi kwa ajili ya Watoa Huduma wa Jamii wa Kujitolea pamoja na Kamati za Afya za Shehia hapa Zanzibar. Mwisho wa kutuma maombi haya ni tarehe 8 Januari 2021

The Ministry of Health Zanzibar now invites sealed tenders from eligible national qualified bidders registered by Zanzibar Public Procurement Regulatory Authority (ZPPRA). For further information press the link below:-

Anuani

   Wizara ya Afya Zanzibar
   Mnazi Mmoja – Zanzibar/ Tanzania.
   S.L.P: 236 Zanzibar
   Simu: +255 24 2231614
   Nukushi: +255 24 2231613
   Barua pepe: info@mohz.go.tz
   Tovuti: www.mohz.go.tz

Mrejesho
Loading