Blog

Waziri Mazrui atembelea kituo cha Blooming Flower of Zanzibar

WAZIRI wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui amesema kuwepo kwa kliniki ya tiba mbadala inayofanya tiba za kutumia njia ya  masaji ya kiafya na viungo itasaidia kwa kiasi kikibwa kuimarisha afya za wananchi wa Zanzibar na wegeni wenye matatizo tofauti ikiwemo waliopata kiharusi. Waziri Mazrui ameyaeleza hayo huko Mbweni katika kliniki ya Blooming Flower of […]

Wizara ya afya yapokea msaada wa Mashine ya Methadone

WIZARA ya Afya Zanzibar imepokea msaada wa mashine ya kurahisishia utoaji ya matibabu ya methadone kwa waraibu wa dawa ya kulevya kutoka Serikali ya Marekani kupitia Amref Health Africa Tanzania yenye thamani ya shilingi milioni themanini na nne. Akipokea msaada huo Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui amesema msaada huo utasaidia katika kurahisha upatikanaji […]

Wizara ya Afya imepokea msaada wa vifaa Tiba na dawa kutoka Marekani

WIZARA ya Afya Zanzibar imepokea msaada wa vifaa mbali mbali kutoka Taasisi Africa Relief and community Development ya Nchini marekani  na taasisi nyengine vyenye thamani ya Zaidi ya dola laki mbili. Akipokea msaada huo Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui amesema vifaa hivyo ni vifaa ni vya   kuwasaidia wagonjwa waliolazwa, vifaa vya sehemu ya […]

Rais Mwinyi amewakumbusha wauguzi na watumishi wa sekta ya afya kuisaidia serikali kuleta Maendeleo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewakumbusha wauguzi na watumishi wote wa sekta ya afya kuendelea kuisaidia serikali katika kuhakikisha inatekeleza malengo yake ya kuwapatia huduma bora za afya wananchi wa Zanzibar bila ya ubaguzi. Dk.Mwinyi alieleza hayo katika kilele cha siku ya wauguzi duniani iliyofanyika katika ukumbi […]

Wizara ya Afya imefanya mazungumzo na kuagana na Balozi wa Norway ambae amemaliza muda wake nchini Tanzania

WIZARA Afya Zanzibar imesema itaendeleza ushirikiano na Norway katika kuimarisha Sekta ya Afya na wananchi wapate huduma zenye ubora. Hayo yameelezwa na Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui alipofanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini Tanzania Elizabeth Jacobsen ambae amefika ofisini kwake kuaga kwa kumaliza muda wake. Waziri Mazrui amefahamisha Norway imeweza kuisadia Sekta […]

Baraza la Uuguzi na Ukunga limefanya ukaguzi Chuo cha Afya Cha Empirial kilichopo kisauni Zanzibar

Mwenyekiti wa Baraza la Wauguzi na Wakunga Zanzibar Amina Abdulkadir amesema kuwepo kwa vyuo vyenye kukidhi vigezo vya kusomeshea fani ya uuguzi na ukunga hapa nchini kutasadia kutoa wataalamu wenye ubora wa kuhudumia wananchi. Amesema faini ya uuguzi na ukunga inahitaji taaluma yeye kiwago cha hali ya juu amayo itamuwezesha mwanafunzi kuwa na uwezo mkubwa […]

Chuo kikuu Cha haukland kujenga maabara ya kufundishia Zanzibar

CHUO kikuu cha Haukland  cha nchini Norway kinatarajia kujenga Maabara ya kufundishia hapa nchini ambayo itakuwa na uwezo wa kuwafundisha wanafunzi mbali mbali wa ndani na nnje ya nchi. Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui amesema Maabara hiyo itajengwa katika maeneo ya Lumumba na ujenzi wake utagharimu shilingi milioni mia nane na utachukua kipindi […]

Loading