Ziara ya Mh.Waziri kwenye vituo vya Afya Wilaya ya Kati na Mjini
WIZARA ya Afya Zanzibar imesema inakusudia kuimarisha huduma za afya ya msingi kwa kuweka mindombinu yenye ubora zaidi na wananchi waendelee kupata matibabu bila ya usumbufu. Hayo yameelezwa na Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui katika muendelezo wa Ziara yake ya kutembelea vituo vya afya aliyofanya Wilaya ya Kati na Mjini ya kuangalia miundombunu […]