Waziri wa Afya Zanzibar akutana na Madaktari wa Meno kutoka Oman
WAZIRI wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui amesema kuja kwa madaktari wa maradhi ya meno kutoka Oman kumesaidia kwa kiasi kikubwa kufanya uchunguzi na matibabu kwa wananchi wa Zanzibar. Amesema wananchi wengi hasa watoto wanasumbuliwa na maradhi ya meno kutokana na kula vyakula kwa wingi vya sukari na vikali ambapo kunasababishwa kwa kiasi kikubwa kuharibu […]