Wizara Ya Afya yapokea Msaada wa Gari Kutoka UNFPA

Wizara ya afya zanzibar imepokea Msaada wa gari kutoka Shirika linalosaidia idadi ya watu ulimwenguni UNFPA na gari hiyo itatumika katika kufuatilia masuala mazima ya Afya ya Mama na Mtoto pamoja na Hospital na Vituo vya Afya Zanzibar.

Loading