Wizara ya Afya Zanzibar Kuendeleza ushirikiano na UNICEF
WIZARA ya Afya Zanzibar imesema kuwa itaendelea kushirikiana na Shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia masuala ya watoto Duniani UNICEF katika kuimarisha huduma za Afya hapa nchini. Hayo yameelezwa na Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui wakati alipofanya mazungumzo na Mwakilishi mpya wa taasisi ya hifadhi ya watoto wa shirikika la umoja wa mataifa […]