WIZARA YA AFYA IMEPOKEA MSAADA WA FEDHA KUTOKA CHINA
WIZARA ya Afya Zanzibar imepokea msaada wa vifaa mballimbali vikiwemo vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mia tisa na 20 kutoka hospitali ya jiji la Jiangsu China vitakavyotumika katika Hospitali ya Mnazimmoja na Abdalla Mzee Pemba. Msaada huo umepokelewa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Habiba Hassan Omar na kutia saini […]