Wizara ya Afya Zanzibar, inatarajia kuanza awamu ya pili ya zoezi la utoaji wa huduma jumuishi
Wizara ya Afya Zanzibar, inatarajia kuanza awamu ya pili ya zoezi la utoaji wa huduma jumuishi ikiwemo chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wote wenye umri wa miaka 14. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya kutoka Wizara ya Afya Zanzibar Ofsini kwake Mnazimmoja Dk. Salim Slim […]