Rais wa Zanzibar amefungua jengo la Huduma za Tiba za Dharura na Maabara katika kituo cha Afya Makunduchi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema Ujenzi wa jengo jipya la huduma za matibabu ya dharura na maabara ya kisasa ni miongoni mwa juhudi zinazochukuliwa na Serikali katika kuimarisha miundombinu ya huduma za Afya ili ziweze kwenda sambamba na mabadiliko ya maendeleo ya huduma za afya duniani. […]