BARAZA la Tiba Asili na Tiba Mbadala limetakiwa kudhibiti na kusimamia watoaji wa huduma ya Tiba asili na Tiba mbadala
BARAZA la Tiba Asili na Tiba Mbadala limetakiwa kudhibiti na kusimamia watoaji wa huduma ya Tiba asili na Tiba mbadala hapa nchini ili ziendane na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia na kuweza kuondokana na matatizo mbali mbali kwa watumiaji wa huduma hizo. Akizundua Baraza la tano la Tiba Asili na Tiba Mbadala huko Wizara ya […]