Matangazo
Kuwa nasi hapa kwa matangazo yote yanayotolewa na Wizara ya Afya Zanzibar. Ahsante
Matangazo Mpya
Hakuna Tangazo Jipya…!Matangazo Yaliopita
1.Orodha Ya Wasaidzi Wauguzi (Nurse Assistants) June 2024.
Majina Ya Walichaguliwa Kushiriki Katika Usaili Wa Fani Ya Msaidizi Muuguzi (Nurse Assistant) Utakaofanyika Siku Ya Alhamis Tarehe 20/06/2024 Saa 1:30 Za Asubuhi Katika Skuli Ya Tumekuja
OnyeshaPakua hapa
2. Orodha Ya Wasaidzi Wauguzi (Nurse Assistants) kwa ajili ya Usaili wa ana kwa ana (Oral Interview) Juni 2024. Utakaofanyika Siku Ya Jumatano Tarehe 26/06/2024 Saa 1:30 Za Asubuhi Katika Skuli Ya Tumekuja
OnyeshaPakua hapa
3. Tangazo Wahitimu Wote Wa Kada Ya Nurse Assistant Pemba
OnyeshaPakua hapa
4. Wito na Orodha Ya Wasaidzi Wauguzi (Nurse Assistants) kwa ajili ya Usaili July 2024. Utakaofanyika Siku Ya Jumatano Tarehe 03/07/2024 Saa 2:00 Za Asubuhi Katika Skuli Ya Madungu Secondary
OnyeshaPakua hapa
5. Wito na Orodha Ya Wasaidzi Wauguzi (Nurse Assistants) kwa ajili ya Usaili wa ana kwa ana (Oral Interview) Pemba July 2024. Utakaofanyika Siku Ya Alhamis Tarehe 04/07/2024 Saa 1:30 Za Asubuhi Katika Skuli Ya Madungu
OnyeshaPakua hapa
6. Taarifa Kwa Umma
OnyeshaPakua hapa
7. Orodha ya Wasaidizi wauguzi (Nurse Assistants) waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Muda mfupi kwa ajili ya kujiunga na Programu ya Wahudumu wa Afya ya Jamii Wanafunzi wote waliotajwa Majina yao hapo juu wanatakiwa kufika Chuo cha Karume kilichopo Mbweni siku ya Jumanne tarehe 10/09/2024 Saa 2 kamili Asubuhi pamoja na Vitambulisho Vyao halisi (Original) vya Mzanzibar
OnyeshaPakua hapa