WIZARA ya Afya Zanzibar imepokea msaada wa dawa kutoka Shirika la Maendelo HIPZ
WIZARA ya Afya Zanzibar imepokea msaada wa dawa kutoka Shirika la Maendelo HIPZ zenye thamani ya shilingi milioni mia sita na hamsini ambazo ni za maradhi ya kisukari, Presha na magonjwa ya akili na zitatumika Hospitalini na Vituo vya Afya. Akipokea msaada huo Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Hassan Khamis Hafidh amesema Maradhi ya Presha, […]