Baraza La Wauguzi na Wakunga Zanzibar

Baraza la Wauguzi na Wakunga Zanzibar, ni chombo kilichopo kwa mujibu wa Sheria nambari 5 ya mwaka 2014. Katika majukumu yake ya msingi ni kuhakikisha huduma za Uuguzi na Ukunga zinatolewa katika hali bora na kumsajili muuguzi aliyefaulu mitihali yake, kumthibitisha au kuweka viwango vyengine vya usajili.

Majina ya fomu

1. Fomu ya maombi ya Usajili na Leseni           Download
2. Fomu ya kuengeza muda wa leseni Download
3. Fomu ya leseni na Usajili wa muda Download
Anuani

   Wizara ya Afya Zanzibar
   Mnazi Mmoja – Zanzibar/ Tanzania.
   S.L.P: 236 Zanzibar
   Simu: +255 24 2231614
   Nukushi: +255 24 2231613
   Barua pepe: info@mohz.go.tz
   Tovuti: www.mohz.go.tz

Mrejesho
Loading